al aqsa

IQNA

IQNA – Sheikh Raed Salah na Sheikh Kamal al‑Khatib wamelaani marufuku ya wiki moja iliyowekwa na mamlaka za utawala haramu wa Israel kuwazuia kuingia katika Msikiti wa Al‑Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo, wakisema ni “shambulio dhidi ya dini yetu.”
Habari ID: 3482178    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/29

IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umewawekea vizuizi vikali Wapalestina kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) ambao unaukalia kwa mabavu, kwa ajili ya Swala ya Ijumaa ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481966    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/21

IQNA — Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kiislamu ya Palestina imetangaza mpango jumuishi wa kuukaribisha na kuadhimisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika Msikiti wa Al‑Aqsa, uliopo katika mji mtakatifu wa al‑Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel.
Habari ID: 3481954    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/18

IQNA – Utawala ghasibu wa Israel umetangaza mipango ya kuweka vizuizi kwa waumini Waislamu wanaotaka kufika Msikiti wa Al-Aqsa katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem0, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3481807    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/15

IQNA – Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa amesifu msaada wa Malaysia kwa Palestina na kulaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3481776    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/06

IQNA – Viongozi wa Palestina wamelaani vikali hatua ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuingia kwa nguvu katika katika eneo la Msikiti wa Al‑Aqsa jijini Quds (Jerusalem) wakati wa sikukuu ya Kiyahudi ya Hanukkah.
Habari ID: 3481673    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/17

IQNA – Qari na Muadhini wa Msikiti wa Al‑Aqsa katika al‑Quds (Jerusalem) ameaga dunia baada ya maisha marefu ya ibada katika Qibla cha kwanza cha Waislamu.
Habari ID: 3481660    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/14

IQNA – Sheikh Ekrima Sabri amesema mamlaka za Kizayuni zinapotosha dhana za Kiislamu kwa malengo ya kisiasa, wakati akikabiliwa na kesi mjini al-Quds kwa tuhuma za uchochezi.
Habari ID: 3481536    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/18

IQNA – Takriban walowezi haramu 3,939 Waisraeli waliuvamia msikiti mtukufu wa Al-Aqsa wiki iliyopita wakiwa chini ya ulinzi wa majeshi ya utawala wa Kizayuni, kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni.
Habari ID: 3481489    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/09

IQNA-Itamar Ben Gvir, Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni, licha ya onyo kutoka kwa Waqfu wa Kiislamu, ameuvamia tena Msikiti wa Al-Aqsa jijini Quds (Jerusalem) kwa mara ya pili ndani ya wiki moja.
Habari ID: 3481381    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/18

IQNA – Jumba la Makumbusho moja jijini Istanbul limezindua uzoefu wa hali halisi ya mtandao (Virtual Reality – VR) unaowawezesha wageni kutembelea Msikiti wa Al-Aqsa na mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Israel, kana kwamba wanatembea humo kwa miguu.
Habari ID: 3481339    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/07

IQNA – Mamlaka ya utawala wa Kizayuni imezuia Sheikh Ikrima Sabri, khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa na Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la al-Quds (Jerusalem) kuingia na kuswali katika eneo hilo takatifu kwa muda wa miezi sita — hatua iliyolaaniwa vikali kama sehemu ya kampeni ya kuwalenga viongozi wa kidini wa Kipalestina.
Habari ID: 3481336    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/07

IQNA – Polisi wa utawala wa Israel wamemkamata Sheikh Mohammad Sarandah, khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa, muda mfupi baada ya kutoa hotuba ya Ijumaa, kwa mujibu wa Waqfu wa Kiislamu wa al-Quds.
Habari ID: 3481258    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/20

IQNA – Makumbusho ya Kiislamu ndani ya Msikiti wa Al-Aqsa yanahifadhi mkusanyiko wa kipekee wa nakala nadra za kihistoria za Qur'an Tukufu, kuanzia enzi za Umawiyah hadi Uthmaniyah.
Habari ID: 3481154    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/29

IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Kiirani amehimiza ushirikiano imara kati ya misikiti duniani, akisisitiza haja ya hatua za pamoja kulinda Msikiti wa Al-Aqsa dhidi ya uvamizi unaendelea wa utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3481103    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/18

IQNA – Mufti Mkuu wa Misri, Dkt. Nazeer Mohammed Ayyad, ametoa taarifa ya kulaani kali dhidi ya tukio la kuvamiwa kwa Msikiti wa Al-Aqsa na makundi ya walowezi wa Kizayuni, akieleza kuwa eneo hilo takatifu ni “urithi wa Kiislamu usiogawika wala kujadiliwa kwa namna yoyote.”
Habari ID: 3480916    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/08

IQNA – Harakati ya Palestina ya Mapambano ya Kiislamu, Hamas, imelaani vikali uvamizi wa kichokozi uliofanywa na walowezi wa Kiyahudi katika eneo la msikiti mtukufu wa Al-Aqsa, jijini Quds (Jerusalem) ikieleza kuwa ni sehemu ya juhudi za Israel za kufuta utambulisho wa Kiislamu wa eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3480781    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/03

IQNA – Zaidi ya walowezi 1,000 wa Kizayuni wa utawala haramu wa Israel wakiwa na mawaziri wa mrengo mkali wa kulia na wakisaidiwa na jeshi la utawala huo katili, wameuvamia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji unaokaliwa wa al-Quds siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3480745    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/27

IQNA-Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) ameonya kuhusiana na kushadidi mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya msikiti huo na mji wa Quds, na hivyo ametoa mwito wa kukabiliana mara moja na vitendo hivyo visivyo vya kibinadamu vinavyosimamiwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3480627    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03

IQNA – Nchi kadhaa za Kiarabu zimelaani vikali kusambazwa kwa klipu iliyotengenezwa kwa kutumia Akili Mnemba (AI) na walowezi wa Kizayuni wa Israel, inayoonyesha uharibifu wa Msikiti wa Al-Aqsa ulioko katika al-Quds inayokaliwa kwa mabavu, na ujenzi wa hekalu la Kiyahudi mahali pake.
Habari ID: 3480568    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/20